Kila hoja inapojibiwa na “Samia mitano tena”: kuna tatizo la afya ya akili

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.

Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.

Umaskini umechangia udumavu wa akili
 
Hakuna tatizo la akili, ni njaa Mwanamalegeza! Wanajua fika kuwa wanachokifaya siyo sawa, lakini kwa vile kwenda chooni kwa familia zao kunategemea uchawa, then hawana jinsi ila kusifia! Wana akili timamu hao!

Slaa aliunga mkono ukatili wa magufuli akijua fika kuwa anachokiunga mkono si sawa, lakini kwa njaa aliyokuwa nayo tumboni na kichwani, matokeo yake ndiyo hayo!

Leo eti watu wanamtetea....acha afie huko bladifaken!
 
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.

Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.

Umaskini umechangia udumavu wa akili
....Ili achaguliwe halafu wale maskini waendelee kuwa masikini na wale matajiri waendelee kubaki pale pale....Stupid Tozonians.
 
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.

Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.

Umaskini umechangia udumavu wa akili
Mkuu kwani tukiachana na hilo.. Wewe unaamini kuwa Rais ajaye anaweza kutoka upinzani!!???

Isije kuwa wewe ndiyo una matatizo ya akili.. Wenzio wanajua wanachoimba.. Mimi kura sipigi kamwe ila mpaka sasa ni hakika ccm watashinda nitake nisitake🤣.
 
Hata kama watashinda...hawa wanaopinga udhalimu na dhulma za chama tawala,juhudi zao sio lazima zizae matunda leo

Mwalimu na wenzake hawakufanikiwa tuu kwa juhudi zao...wapo watu walimwaga damu huko nyuma tangu akina Mkwawa...ndio maana tunasherehekea siku ya mashujaa...mbegu nzuri ya kukataa uo evu waliopanda...matunda yake ndio akina Nyerere...

Usifikirie kwa tumbo plse...ona mbali Acha ubinafsi...angalia kizazi kijacho pia ,unakula nazi lakini walipanda wengine...
 
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.

Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.

Umaskini umechangia udumavu wa akili
Hahaha walisema kwa sababu chakula kikuu ni ugali ndio maana asilimia kubwa ya wabongo ni mazombi, unawalisha tu sentensi chache na kuwaelekeza then wanaimba tu kama kasuku hadi siku utakaposwitch off tena uwape zingine
 
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.

Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.

Umaskini umechangia udumavu wa akili
Napita nikirudi na weka kambi.
 
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.

Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena.

Umaskini umechangia udumavu wa akili
Masikini hana kiapo, na mara nyingi huwa wanaangalia leo na muda huo tu ,wakijaza na matumbo yao kwa wali maharage na nyama kwa mbaali, basi wanakurupuka na kuanza kusifu tu, wakati hawajui kesho yao, hivi hata kule Zanzibar wanafanya hivi kama wa bara?
 
Mkuu kwani tukiachana na hilo.. Wewe unaamini kuwa Rais ajaye anaweza kutoka upinzani!!???

Isije kuwa wewe ndiyo una matatizo ya akili.. Wenzio wanajua wanachoimba.. Mimi kura sipigi kamwe ila mpaka sasa ni hakika ccm watashinda nitake nisitake🤣.
Najua alishashinda tayari. Coz ushindi inajulikana unapatikanaje. Hoja yangu ipo kwenye kila hoja kujibiwa na mitano tena…unaona kabisa watu hawana muda wa kutakari na kujibu hoja kwa hoja
 
Back
Top Bottom