tatizo la wabongo wengi hawajishughulishi ki ziada, wana tegemea mshahara mmoja halafu usipotosha kuwafanya watimize ndoto zao wanaanza kuilaumu serikali, wengine hata shughuli hawana wanalaumu serikali utadhani serikali itawaletea pesa mlangoni
tukijitahidi na kuwa na nia njia itakuwepo, tujibidiishe upande wetu halafu ndio tuilaumu serikali kwa ku to play its part