Kila jambo linawezekana!!!

penye nia pana njia.....tusikae tu na kusema tunataka hiki au kile bila kuchukua hatua..na usiwe mwoga wa kujaribu....kushindwa ni hatua ya kujifunza. anza sasa baada ya muda utafanikiwa.
 
Hata watanzania tukiwa na nia na mipango mizuri tunaweza kufanikiwa, cha muhimu tusikate tamaa na tusiache kujaribu.
 
dah inatia moyo!
 
tatizo la wabongo wengi hawajishughulishi ki ziada, wana tegemea mshahara mmoja halafu usipotosha kuwafanya watimize ndoto zao wanaanza kuilaumu serikali, wengine hata shughuli hawana wanalaumu serikali utadhani serikali itawaletea pesa mlangoni

tukijitahidi na kuwa na nia njia itakuwepo, tujibidiishe upande wetu halafu ndio tuilaumu serikali kwa ku to play its part
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…