G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Yaani dili limetiki 100 asilimia, kila tunachopanga na kutarajia kina tiki. Hatua ya kwanza kabisa tayari tumefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 96. Mambo yanaenda bam bam.
Tunasubiri hatua ya pili mchujo wa kura za maoni na hatua ya tatu vikao vya maamuzi ambayo yote hayo yameshaonyesha kufanikiwa baada ya hii hatua mama tuliyomaliza.
Acheni Mungu aitwe Mungu.
Please wanaccm jitokezeni kwa wingi sana siku ya kesho ni mwisho. Gombeeni Kwani wingi na kama ikibidi kesho hata kazi usifanye hadi ukihakikishie kuwa una form
Peoples What a deal men! Yaani hata mgutuke, too late my friends! Tumeshafanikiwa lengo letu! Acha leo nilipe kodi kwa furaha! Nalipa kweli kweli!
cc mrangi , Mshana Jr