Kila KAFARA limekataa na tayari hali ya wasiwasi imeshaanza Kutanda Kambini Indian Ocean

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali' ambaye kwa tarehe ya leo Nyota yake ina Nuksi basi wajiandae kwa Kipigo Kikali ambacho kila Mtu hatoamini na hata Wao hawatoamini pia.

Imeisha hiyo......!!
 
Adake Diara ama mshery kama kipigo kipo pale pale, wacha janja janja kolo muani.

Hallelujah!!!
 
Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali' ambaye kwa tarehe ya leo Nyota yake ina Nuksi basi wajiandae kwa Kipigo Kikali ambacho kila Mtu hatoamini na hata Wao hawatoamini pia.

Imeisha hiyo......!!
Here is the problem with you guys uganga uchawi ushirikina. No wonder tuna jamii ya hovyo
 
Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali' ambaye kwa tarehe ya leo Nyota yake ina Nuksi basi wajiandae kwa Kipigo Kikali ambacho kila Mtu hatoamini na hata Wao hawatoamini pia.

Imeisha hiyo......!!
Popoma, come back please!! 🧟
 
Back
Top Bottom