CCM ni genge la walaji wa nchi hii tuwakatae.Mungu Ibariki CHADEMA.. Kukichwa kutapambazukaView attachment 3068615View attachment 3068616
kinapandisha sauti ya mayowe na kubwekabweka right?πHiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA tuendeleze mapambano ya ukombozi wa Mtanzania, haitakuwa rahisi ila tutashinda mwisho wa siku.