Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko? Endeleeni kuichagua CCMMaisha yanapanda kwa kasi Sana.
Kila kitu bei juu! Nimeshangaa kipande cha Sabuni sasa ni 600 badala ya 500. Soda sasa ni 600 badala ya 500.
Maji nayo yamepanda bei.
Huduama za kijamii nazo zinasuasua
Watawala mtuhurumie.
Sio muda wa kulalamika huu,ni muda wa kupiga tuMaisha yanapanda kwa kasi Sana.
Kila kitu bei juu! Nimeshangaa kipande cha Sabuni sasa ni 600 badala ya 500. Soda sasa ni 600 badala ya 500.
Maji nayo yamepanda bei.
Huduama za kijamii nazo zinasuasua
Watawala mtuhurumie.
Maisha yanapanda kwa kasi Sana.
Kila kitu bei juu! Nimeshangaa kipande cha Sabuni sasa ni 600 badala ya 500. Soda sasa ni 600 badala ya 500.
Maji nayo yamepanda bei.
Huduama za kijamii nazo zinasuasua
Watawala mtuhurumie.
Rudisheni hizo chupa za mirinda na fantaKuanzia mirinda. Fanta na zingine.
Mche wa jamaa hapo ulipo bei gani?Siyo kweli...
Hata tusipoichagua tume ni yaoWapi huko? Endeleeni kuichagua CCM