Kila kitu katika picha hii kipo mfukoni kwako.

Ushamba wako
Nimekuwa mshamba tena.

Simu yangu haina Radio...na sihitaji Radio.

Kama ni ushamba simu kukosa Radio, washamba watakuwa watengenezaji wa hizo simu.
 
Hakuna kitu kimepita haraka kama upepo kama CD na Flash disc..
 
Your phone.
Na ukiibiwa simu basi umeibiwa
Camera
Radio
Tv
Notebook
Diary
n.k [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Hakuna kitu kimepita haraka kama upepo kama CD na Flash disc..
Kuchelewa kufika katika mazingira yako sio kupita mapema, kwani CD zilikuwa tayari tangu miaka ya 80, kufika kwetu ndio zimechelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…