o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 428
- 385
Wanadamu tumeumbwa na Mwenyezi Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa. Kwa namna ya kinyongeza nyongeza Ili kukamilisha maana aliyoikusudia.
Akaumba hivi aka umba vile akaumba nyangumi then ukaumbwa mimi na wewe, tena Kwa kutulia kabisa Kwa mfano wake. Adam na Hawa. bustanini Eden tunda la mti wa kati likaliwa..Adam anaulizwa anasema si huyu mwanamke? Sababu! SABABU! Inakupa jibu baada ya swali kwanini? Kila jambo linaajenda zake. Ukubali ukatae.
Changamoto ya yote tunayokutana nayo yanasababu zake kwanini ikawa hivyo kwanini ikawa vile. Hata kifo ni maisha haya tunayoishi leo ndio yataamua hatma yako na yangu.
Kwenye mafanikio ya mtu kuna mtu nyuma yake na hivyo basi tunaishi saana Kwa kutegemeana. Mwerevu anahitaji wajinga ili afanikishe mambo yake. Tajiri anahitaji masikini wawepo iliaendelee kujimeamwambafai na utajiri wake.
Masikini akichinja kuku basi ujue huyo kuku ni mgonjwa, hiyo "notion" inaukweli ndani yake. We chagua Moja kufunika au kufunua but maisha lazima yaende.
Usisahau kupata glass Moja ya wine Kwa ajili ya tumbo lako.