Kila kitu kinawezekana ukiwa na nia thabiti. Apunguza mwili

Hiv wakikonda huwa wanaenda kupunguzwa nyama zinazobaki zinaning'inia ama zinajivuta zenyewe?
 
Nafikiri sehemu kubwa huwa ni mafuta ambayo huyeyuka nafikiri!
Ndio hvyo. Sasa baada mafuta kuyeyuka si ile sehemu ambayo mafuta yalikuwepo inabaki wazi? Kama ni ngozi itabaki tepe tepe kwaiyo hapo wanafanyeje kuifanya ngozi iwe ndogo tena na ibane kuendana na mwili
 
Siyo mtaalamu huenda nyama zinajipanga zenyewe pole pole na labda ndio maana inachukuwa muda mrefu kupunguza uzito lkn mara nyingi kama mtu alikuwa overweight akapunguza uzito karibia wote ukimuona utajua tu hasa kama akiwa hana nguo maeneo ya tumbo, kifuani utaona tu kwamba nyama ni kama zimelala zimekosa support.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…