Kila kitu Kupost!!! Inakera

Kila kitu Kupost!!! Inakera

Jean piaget

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
143
Reaction score
34
Hi jf!
Mm hua nafatilia sana comments za humu jf, kuna watu (great thinkers) wanapost vitu vyenye mashiko na vya kuelemisha na kukosoa mtu mmoja mmoja or society at large, eg. Kuna post nmeona jana inayohusu misiba inavyofanyika ktk tamaduni mbalimbali" na nyingine nyingi.

Lakn kuna wengine kila kitu wanapost hata mambo ambayo siyo public, jamani as agreat thinker mambo madogo madogo inabidi unayasolve individually.
Mfano; vipost kama hivi , "Nimeachana na yule baba nmempata mkurya ila nampenda, je yeye ananipenda? Hapo jf watajibu nini jamani, "nmemtongoza demu amekubali je nmgegede?"hapa utajibiwa nini sasa (vry nonsense)
Na nyingine nyingi ambazo hazina maana, is t the home of great thinkers? Wengi wa humu wana low capacity of thinkng na hawana ule uwezo wa problem solving

NB: all great thinkers are highly needed here, tulijadili hili may be people may change.
 
Kaka upo sahihi. Mimi nimejaribu weeeee kuwakanya hawa vijana lakini nimeamua kubwaga manyanga. Labda wewe watakusikia. Wanakera sana hawa watoto. Ndio matatizo ya utandawazi. Unadhani tufanye nini ili kuondoa hizi kero?

  • Thanks
Reactions: apk
...Acha magugu na ngano vikue pamoja. Hakika hakuna unaloweza kufanya vile hii Ni jamii, yenye watu wa uelewa tofauti. Japo slogan ni "home of great thinkers", usitegemee kila anayetoa maoni Ni great thinker katika level unayoitaka. Pia, hiki kimekuwa kijiwe cha kutolea stress kwa walio wengi, mizaha na utani havotoisha..
 
Kaka upo sahihi. Mimi nimejaribu weeeee kuwakanya hawa vijana lakini nimeamua kubwaga manyanga. Labda wewe watakusikia. Wanakera sana hawa watoto. Ndio matatizo ya utandawazi. Unadhani tufanye nini ili kuondoa hizi kero?

Mwanamalundi only solution watu wakipost vitu vya kijnga ni kukataa kucoment ili wajue wameandika ujinga
 
Last edited by a moderator:
...Acha magugu na ngano vikue pamoja. Hakika hakuna unaloweza kufanya vile hii Ni jamii, yenye watu wa uelewa tofauti. Japo slogan ni "home of great thinkers", usitegemee kila anayetoa maoni Ni great thinker katika level unayoitaka. Pia, hiki kimekuwa kijiwe cha kutolea stress kwa walio wengi, mizaha na utani havotoisha..[/QU
Elia79, pamoja na hayo watu wawe wanafkria hata kidogo b4 posting, coz post zngine unashindwa kuzielewa jamani
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna ma fb yameingia juzi na jana yanatia kinyaaa kika post hayaeleweki ahhhgh!!!!!!!!
 
Hi jf!
Mm hua nafatilia sana comments za humu jf, kuna watu (great thinkers) wanapost vitu vyenye mashiko na vya kuelemisha na kukosoa mtu mmoja mmoja or society at large, eg. Kuna post nmeona jana inayohusu misiba inavyofanyika ktk tamaduni mbalimbali" na nyingine nyingi.

Lakn kuna wengine kila kitu wanapost hata mambo ambayo siyo public, jamani as agreat thinker mambo madogo madogo inabidi unayasolve individually.
Mfano; vipost kama hivi , "Nimeachana na yule baba nmempata mkurya ila nampenda, je yeye ananipenda? Hapo jf watajibu nini jamani, "nmemtongoza demu amekubali je nmgegede?"hapa utajibiwa nini sasa (vry nonsense)
Na nyingine nyingi ambazo hazina maana, is t the home of great thinkers? Wengi wa humu wana low capacity of thinkng na hawana ule uwezo wa problem solving

NB: all great thinkers are highly needed here, tulijadili hili may be people may change.

acha umbea then you are not a thinker i concur
 
Eti kuna demu nampenda siwezi kumwambia, mara ooh...nimemuacha leo mpenzi wangu...so what..??!!
 
Kama kuna ma fb yameingia juzi na jana yanatia kinyaaa kika post hayaeleweki ahhhgh!!!!!!!!

Leomimi ww acha tu kinyaa cyo kinyaa, utumbo cyo utumbo,!!! Cjui wanataka umaarufu kupitia social networks,
 
Last edited by a moderator:
thread zingine unaona kabisa ni za kupeleka chitchat...ila unazikuta hapa mmu
 
Back
Top Bottom