Kila kitu ni kupambania hasa mahusiano

Surya uje unitoe hizi aibu nilizonazo
 
Kuna wengine aina yetu ya mahusiano ndo inafanya tuonekane tupo single. Hapa kazini kwetu nimerudi juzi rikizo tu lkn naulizwa bado hujaoa ? Kuna mda natakaga niwaambie mimi natumika mno kuliko wao ila basi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…