Kila kitu ni kupambania hasa mahusiano

HIvi jamani kurudiana na mpenzi ambaye mliachana kwa kutukanana ,unahisii badae mtaachana kwa kufanyiana nini???,πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ™€πŸ™€πŸ™€πŸ™€
 
kuchomana visu,,,ebu subiri kwanza kwanini mrudiane!?
 
HIvi jamani kurudiana na mpenzi ambaye mliachana kwa kutukanana ,unahisii badae mtaachana kwa kufanyiana nini???,πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ™€πŸ™€πŸ™€πŸ™€
kama sio kurogana basi ni kupigana πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…