Kitu Kimoja kizuri Mademu wa bongo mpoo juu sana halafu hamna gharama! Kuku 2 na Heinekens za Kichina umemaliza
Kitu Kimoja kizuri Mademu wa bongo mpoo juu sana halafu hamna gharama! Kuku 2 na Heinekens za Kichina umemaliza
Kila huduma bongo lazima utoe kitu kidogo looooooooooooh this country bwana
Nilipigwa ban na vibarua vya watu! Haiwezekani tusiumizane kwa bia kwa siku mbili hizi! Weekend lazima tukulishe kokoto na heinekeni za kichina pale kwa eliza.Unrechable wewe acha uhuni wa Nguli na wake za watu na kucha
nilipigwa ban na vibarua vya watu! Haiwezekani tusiumizane kwa bia kwa siku mbili hizi! Weekend lazima tukulishe kokoto na heinekeni za kichina pale kwa eliza.
halafu na wewe ukiondoka kimya kimya hatutakuelewasiku ya kwanza tu polisi ananiomba rushwa kisa gari halina reg number hajui nilikuwa natoka nalo bandarini......akaomba 2000
haya nikaenda kumwona drogba nikiwa na mzenj wangu, nikakata tiketi za vip tshs 50000 utaratibu mbovu mbovu hakuna geti ikabidi kuwapoza wale jamaa kwa buku mbili
nikaenda kiwanja cha uswahili nikatoa 10,000 beer 2 mhudumu akaioshia zake
wapwa wamenikimbia wote hawapo reachable!!!!
Narudi kzangu zenj
masa
Eliza ana rafiki yake mzuri. Ata act uzenj kwa muda.Nije peke yangu ama na Mzenj? teh teh teh teh
Mzenji nitampeleka kukatwa kucha kwa Nguli
Eliza ana rafiki yake mzuri. Ata act uzenj kwa muda.
UJE MWENYEWE BWANA!Nije peke yangu ama na Mzenj? teh teh teh teh