Kila kitu sisi ni hovyo hovyo

tibiesi bwana mkubwa!
tupo bara sasa............

Homu boi mpelekeni hii Mzenj pale linipeleka kukaribisha mwaka 2010.....Chawote.....mpe ile kitu pamoja na firigisi plus utumbo, omba wanyunyizie na nyongo......! tabadilisha mawazo hiyo jamaa ya mabox....... ibaki bongo....ha!ha!haaa
 
hahahahaha!NYONGO NA TUNANILIU(tu-masusu)

heheheheh!
 
HIVYO NDIVYO TULIVYO. Stadium ni mpya na ya kisasa lakini tunaiba vifaa pamoja na kuharibu miundo mbinu as if we dont deserve the best. Lakini tunalalamika kutaka halibora lakin hii tuliyonayo tumess hivi kweli tutafika huko???? As i said many times before what we first need to change is mindset
 
Cha msingi umeamua kurudi lakini ungejichanganya mitaa ya kati, na ungepata demu wa kibongo wangekulamba simu na pesa zako zote, sijui ungerukije kwenu?

Harafu ndiyo wewe tunayekutafuta manake unatoa rushwa, hujui mtoaji na mpokeaji wote mali-ganyanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…