Kila la heri darasa la saba

Kila la heri darasa la saba

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kumaliza Shule ya Msingi kesho na kumaliza kesho kutwa. Mwenyezi Mungu awatangulie wadogo zetu ambao wako kwenye njia ya kuelekea tulipo. Wekeni nia na malengo yenu mapema.

Wazazi na walezi, wapeni moyo na kuwaongoza vyema watoto wenu.

Dedication: The greatest love of all- Witney Houston

Last edited by a moderator:
Kesho mdogo na rafiki yangu atafanya mtihani huo. kila la kheri Meckloud
 
Hatutegemei wasiojua kusoma na kuandia kufaulu
 
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kumaliza Shule ya Msingi kesho na kumaliza kesho kutwa. Mwenyezi Mungu awatangulie wadogo zetu ambao wako kwenye njia ya kuelekea tulipo. Wekeni nia na malengo yenu mapema.

Wazazi na walezi, wapeni moyo na kuwaongoza vyema watoto wenu.

Dedication: The greatest love of all- Witney Houston

Sasa hapa wanapataje Ujumbe wako,??:embarrassed::embarrassed:

:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Last edited by a moderator:
Hatutegemei wasiojua kusoma na kuandia kufaulu

Nadhani mtihani huu hauna umuhimu wowote kwa watoto wetu na shule wanazoziendea za kata! Lakini tunawaombea wamalize salama. Mungu awatangulie.
 
Mitihani yenyewe ndo ile cha kuchagua kwenye vibox hata hisabati? Basi wameshafaulu
 
Dah ndo hatma ya maisha ya watoto Wa masikin Wa Tanzania yanapo ishia yan akifeli ndo maisha yanaanzia hapo wenye pesa hata iweje anaendelea
 
nakumbuka enzi hzo na mm napga pepa hlo... MUNGU AWATANGULIE... AMEN
 
Dah ndo hatma ya maisha ya watoto Wa masikin Wa Tanzania yanapo ishia yan akifeli ndo maisha yanaanzia hapo wenye pesa hata iweje anaendelea

Nchi ya CCM, na wanaichagua wao hao hao inaowaumiza!
 
Back
Top Bottom