Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kumaliza Shule ya Msingi kesho na kumaliza kesho kutwa. Mwenyezi Mungu awatangulie wadogo zetu ambao wako kwenye njia ya kuelekea tulipo. Wekeni nia na malengo yenu mapema.
Wazazi na walezi, wapeni moyo na kuwaongoza vyema watoto wenu.
Dedication: The greatest love of all- Witney Houston
Hatutegemei wasiojua kusoma na kuandia kufaulu
Nadhani mtihani huu hauna umuhimu wowote kwa watoto wetu na shule wanazoziendea za kata! Lakini tunawaombea wamalize salama. Mungu awatangulie.
Tuwaombee hata kwa hilo mkuuDah ndo hatma ya maisha ya watoto Wa masikin Wa Tanzania yanapo ishia yan akifeli ndo maisha yanaanzia hapo wenye pesa hata iweje anaendelea
Dah ndo hatma ya maisha ya watoto Wa masikin Wa Tanzania yanapo ishia yan akifeli ndo maisha yanaanzia hapo wenye pesa hata iweje anaendelea