Kila la heri form iv

Kila la heri form iv

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Vijana wote wa kidato cha nne mnaoanza mitihani yenu ya taifa kesho Mungu awatangulie mkafanye kama itakavyompendeza ili kila mmoja wenu akavune kwa kadiri ya alivyopanda.
 
Duuuh, nawahurumia wale wa shule ya kata. Full kuandika mistari ya bongo fleva.
 
Back
Top Bottom