A-town JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 494 Reaction score 169 Oct 7, 2012 #1 Vijana wote wa kidato cha nne mnaoanza mitihani yenu ya taifa kesho Mungu awatangulie mkafanye kama itakavyompendeza ili kila mmoja wenu akavune kwa kadiri ya alivyopanda.
Vijana wote wa kidato cha nne mnaoanza mitihani yenu ya taifa kesho Mungu awatangulie mkafanye kama itakavyompendeza ili kila mmoja wenu akavune kwa kadiri ya alivyopanda.
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,638 Reaction score 1,207 Oct 7, 2012 #2 Duuuh, nawahurumia wale wa shule ya kata. Full kuandika mistari ya bongo fleva.