Kikosi cha Kili Starz leo kimebadilika kwa takribani asilimia 60, Ngasa, Boban, Nditi, Nurdin n.k nje; Said Maulid,mwinyi Kazimoto, Mwaipopo ndani
ngoja tuone leo itakuwaje, tupeni update wadau, huyu mgonjwa wetu anaendeleaje.
Kili wako mbele kwa bao moja.
ngoja tuone leo itakuwaje, tupeni update wadau, huyu mgonjwa wetu anaendeleaje.
hatuna timu.. hao djibouti vibonde, kifupi ni kwamba kibonde kakutana na kibonde mwenzie
Mechi ya rwanda na zimbabwe imeishaje?