Rwanda 2 Zimbabwe 0
Thanks mkuu! Ina hata kama tukiwafunga Djibouti mechi ya mwisho ndo itaamua bcoz itabidi tuwafunge Zimbabwe,,,au la tuwafunge Djibouti magoli mengi ili tukatafute draw na Zimbabwe..kazi ipo !!
Thanks mkuu! Ina hata kama tukiwafunga Djibouti mechi ya mwisho ndo itaamua bcoz itabidi tuwafunge Zimbabwe,,,au la tuwafunge Djibouti magoli mengi ili tukatafute draw na Zimbabwe..kazi ipo !!
endapo mechi ikiisha hivihivi itabidi Killi itafute droo tu zidi ya Zimbabwe ili isonge mbele.
Djibouti wameanza kwa kasi ya ajabu aisee, kosakosa nyingi.
aliyefunga goli la tatu ni YUSUPH RASHID aliyechukua nafasi ya THOMAS ULIMWENGU.
MGOSI alitoka akaingia NURDIN BAKARI. hawa walioingia ndo wameleta uhai wa timu. vilevile kaingia GODFREY TAITA katoka SAID MOLALI. wachezaji wa gjibouti wanaonyesha kutolidhika na maamuzi ya refaa. lakini ukweli ni kwamba refa hajatubeba. mia