Kila la heri kwa Simba Sports Club: Visit Tanzania.

Kila la heri kwa Simba Sports Club: Visit Tanzania.

Mimi naitakia Kaizer Chiefs ushindi wa goli 3 bila dhidi ya huyo mpinzani wake.
 
Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs.
Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.
Amen amen amen na Mungu Muumba wa vitu vyote aliumba watu kucheza na kufurahi,naomba atujaalie Watanzania na wanaSimba iwe zamu yeti mwaka huu kufurahi,tuwashinde Kaiser Chief tusonge mbele.
 
Back
Top Bottom