mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
AmeeeeeenSimba tangaza mlima kilimanjaro huko! Wapige kaizer mbili bila!
Utahamini SIMBASiwapendi kabisa Simba lakini naona wakishinda ugenini mechi ya leo
Siwezi kuhamia Simba.....Utahamini SIMBA
Unatokea nchi gani mkuu?Mimi naitakia Kaizer Chiefs ushindi wa goli 3 bila dhidi ya huyo mpinzani wake.
Tutatoka kifua mbele InshallahLeo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs.
Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.
Amen amen amen na Mungu Muumba wa vitu vyote aliumba watu kucheza na kufurahi,naomba atujaalie Watanzania na wanaSimba iwe zamu yeti mwaka huu kufurahi,tuwashinde Kaiser Chief tusonge mbele.Leo timu yetu ya Tanzania itapeperusha bendera ya Tanzania huko Afrika ya kusini na dunia yote itatazama. Tutumie uzi huu kuitakia ushindi Simba dhidi ya Kaizer chiefs.
Naitakia Simba ushindi wa kishindo!! Karibuni.