L Leonel Ateba Mbinda JF-Expert Member Joined Feb 20, 2023 Posts 644 Reaction score 2,695 Oct 1, 2023 #1 Nimepitia kwenye mipango, mikakati na tahadhari zote dhidi ya mchezo wa leo muhimu kabisa. Inshaallah Simba inakwenda Group Stage leo
Nimepitia kwenye mipango, mikakati na tahadhari zote dhidi ya mchezo wa leo muhimu kabisa. Inshaallah Simba inakwenda Group Stage leo
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,069 Reaction score 3,899 Oct 1, 2023 #2 Muombe sana maana kwa kikosi chenu lolote laweza kutokea.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Oct 1, 2023 #3 Mzaleee said: Muombe sana maana kwa kikosi chenu lolote laweza kutokea. Click to expand... Hawana hata hamu wanatamani kulia
Mzaleee said: Muombe sana maana kwa kikosi chenu lolote laweza kutokea. Click to expand... Hawana hata hamu wanatamani kulia
ChawaWaMama JF-Expert Member Joined Jan 16, 2023 Posts 1,765 Reaction score 3,277 Oct 1, 2023 #4 1979Magufuli said: Nimepitia kwenye mipango, mikakati na tahadhari zote dhidi ya mchezo wa leo muhimu kabisa. Inshaallah Simba inakwenda Group Stage leo Click to expand... Nasikia simba kachoka mbaya, anaomba ahurumiwe
1979Magufuli said: Nimepitia kwenye mipango, mikakati na tahadhari zote dhidi ya mchezo wa leo muhimu kabisa. Inshaallah Simba inakwenda Group Stage leo Click to expand... Nasikia simba kachoka mbaya, anaomba ahurumiwe