Ngongongare Member Joined Jan 16, 2014 Posts 48 Reaction score 18 Jan 26, 2014 #1 Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la heri wanachuo wote wa Chuo kikuu cha Arusha University of Arusha katika mitihani yao inayotarajiwa kuanza apo kesho tarehe 27-01-2014 katika kuitimisha safari yao ya Semister ya kwanza May GOD BLESS U
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la heri wanachuo wote wa Chuo kikuu cha Arusha University of Arusha katika mitihani yao inayotarajiwa kuanza apo kesho tarehe 27-01-2014 katika kuitimisha safari yao ya Semister ya kwanza May GOD BLESS U
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,155 Reaction score 445 Jan 26, 2014 #2 Nawatakia Saut best wishes pia!
C chopp JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 220 Reaction score 41 Jan 26, 2014 #3 ha ha ha ngongongare kitambo sana kipande kile
K KG.KASELO JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 252 Reaction score 20 Jan 26, 2014 #4 Prince Hope said: Nawatakia Saut best wishes pia! Click to expand... vyuo vya kata hapa,,vya nin?