Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Natamani kuwawish Mamelodi ushindi,ila nikikumbuka ule mpira wao wa kiboshooKila la heri Wydad Casablanca, nawaombea ushindi dhidi ya mamelodi, wale mashabiki wa Wydad tujuane hapa
Free palestine π΅πΈ
270 KBCMkuu, inaoneshwa channel ipi?
Mkuu, inaoneshwa channel ipi?
Dstv 270 KBCKwenye simu mzee baba