mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Nikiwa kama mwarabu niwatakie ushindi mkubwa waarabu wenzangu wa Algeria.
Hawa waswahili wanakelela sana, hakikisheni mnawapiga goli za kutosha kuanzisha 7-0 na kuendelea ili warudi kushabikia timu zao pendwa za waswahili wenzao za Simba na Yanga
Lolote baya liwakute hawa wavimba macho wanaojiita taifa stars.
Viva[emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026]