mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Ndio maana nimeonyesha uzalendo kwa taifa langu la Algeria. Tusipangiane utaifa mbwiga weweInayocheza ni taifa [emoji93] na sio Simba au yanga, onesha uzalendo kwa Nchi yako
Tutawagonga zaidi ya ngoma[emoji23][emoji23]Taifa stars watapigwa km ngoma
[emoji23][emoji23]Waarabu wametupania (sina hakika wanaimba nini?
Wanaimba bandari njoo bandari njoo bandari njooWaarabu wametupania (sina hakika wanaimba nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waswahili wakitoboa nipigwe life ban
MhhhhNikiwa kama mwarabu niwatakie ushindi mkubwa waarabu wenzangu wa Algeria.
Hawa waswahili wanakelela sana, hakikisheni mnawapiga goli za kutosha kuanzisha 7-0 na kuendelea ili warudi kushabikia timu zao pendwa za waswahili wenzao za Simba na Yanga
Lolote baya liwakute hawa wavimba macho wanaojiita taifa stars.
Viva[emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026][emoji1026]
AahaaaNdio maana nimeonyesha uzalendo kwa taifa langu la Algeria. Tusipangiane utaifa mbwiga wewe
Sawa,nimescreenshot hii replyWaswahili wakitoboa nipigwe life ban
Mashiga nyieeeeSawa,nimescreenshot hii reply
Waswahili wakitoboa nipigwe life ban