kila la kheri kidato cha 6 katika mitihani yenu mnayoanza hapo kesho.

King Innocent

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
1,046
Reaction score
715
Nawatakia mafanikio na ufaulu wa kuridhisha kwenye mitihani mnayoenda kufanya.pili nawapongeza sana kwa kumaliza vidato, hakika ilikuwa safari ndefu.
 
Nakutakia kila la heri kwenye mitihani yako. You will make it. All the best.
Ndio nimewatumia hio...

Subiri baada ya week tatu hapa JF patakavyotia kichefuchefu sasa.
 
I wish them all the best! Elimu ya kidato cha tano na sita is very complicated muda ni mdogo sana kumaliza syllubus zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…