OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
We lete zengwe tu mkuu iwe ccm, iwe cu awe chadema au adc ngoma lazima ilale leoYanga = CCM (Zanzibar); Mtibwa Sugar = CUF (Zanzibar).
pole sanaKatika muendelezo wa Mapinduzi Cup leo usiku Mtibwa inakutana Yanga.Nichukua fursa hii kuwatakia ushindi mkubwa Mtibwa Sugar.Nitoe onyo kali kwa marefa ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuibeba Yanga.Yanga ambao ni vinara wa vurugu tunawata wacheze mpira na sio kucheza ngumi.
kila la kheri zako zimedunda,yanga leo inashinda tunachoomba ile team iliyojenga jengo lake ndani ya hifadhi ya barabara ya msimbazi tukutane nayo kwenye nusu fainali au fainali tuipe kipondo.Katika muendelezo wa Mapinduzi Cup leo usiku Mtibwa inakutana Yanga.Nichukua fursa hii kuwatakia ushindi mkubwa Mtibwa Sugar.Nitoe onyo kali kwa marefa ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuibeba Yanga.Yanga ambao ni vinara wa vurugu tunawata wacheze mpira na sio kucheza ngumi.
kila la kheri zako zimedunda,yanga leo inashinda tunachoomba ile team iliyojenga jengo lake ndani ya hifadhi ya barabara tukutane nayo kwenye nusu fainali au fainali nayo tuipe kipondo.Katika muendelezo wa Mapinduzi Cup leo usiku Mtibwa inakutana Yanga.Nichukua fursa hii kuwatakia ushindi mkubwa Mtibwa Sugar.Nitoe onyo kali kwa marefa ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuibeba Yanga.Yanga ambao ni vinara wa vurugu tunawata wacheze mpira na sio kucheza ngumi.
Mbona umenisahau mkuu?@nifah,@masuke,Makoye Matale
Wameshaanza kujimanua mkuu..Mtibwa anaongoza 1.. Kishuya katupiaIle tabia yenu ya kushangilia goli kwa kujimamua hatuitaki huku zenji,ooh