Kila la kheri Taifa Stars

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Tunawatakia kila la kheri vijana wetu wa Taifa Stars katika kulitumikia Taifa letu uzalendo wenu ndio ushindi wetu.
 

Attachments

  • 1447508829878.jpg
    27.7 KB · Views: 413
Maadam huu uzi umeletwa na wadhambi wa Dhambi ya usaliti,leo kama Stars lazima tutapigwa tu
 
Haya Machezaji Ya Taifa Star ni matako,hakika yamenikela tena sana,pumbavu zao
 
Safi sana ACT Wazalendo. Nashangaa sana kuona vyama vingine vya upinzani vilivyokuwa haraka kuwatakia kheri Taifa Stars wakati wa kampeni kwa sasa wameamua kujivua uzalendo baada ya kushindwa kwenye uchaguzi.
 
Labda kama refa atakuwa jecha nahamin stars itashinda unless otherwise tusubir miujiza
 
Hakunaga "kila la kheri" kwenye mpira. Mpira ni maandalizi, uwezo, kipaji na investment. Kila mtu atavuna alichopanda.
 
Chaneli ya taifa yenyewe wameshindwa kuonesha mechi ya timu ya taifa mimi hapa kiherehere cha kuishangilia nakitoa wapi!!!...kila la kheri ALGERIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…