Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Oct 29, 2016 #1 Leo ndo leo katika uwanja wa mkwakwani ambapo chama la wana friends ranger leo inashuka uwanjani kuwakabili wana African sport,katika kundi hili A,Friends Ranger anaongoza kundi,Ewe Mwenyezi Mungu jaalia ushindi Ranger
Leo ndo leo katika uwanja wa mkwakwani ambapo chama la wana friends ranger leo inashuka uwanjani kuwakabili wana African sport,katika kundi hili A,Friends Ranger anaongoza kundi,Ewe Mwenyezi Mungu jaalia ushindi Ranger