Mkuu hongera mno kwa kupenya hatua ya kwanza. Tunakuombea kwa mwenyezi Mungu hatua iliyobakia nayo ufanikiwe.Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza.
Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu na kunipatia fursa na nafasi ya kuniskiliza kwa heshima na hatimae kunipigia kura nyingi sana za upendo wa dhati na bila gharama yoyote, yaani priceless votes.
Thamani ya kura zenu itaonekana kwenye maendeleo. Tuwaombee kamati kuu ya CCM Taifa.
God bless you all.
Kazi na utu Tunsonge mbele pamoja.
Kidumu chama cha Mapinduzi.π
Mungu Ibariki Tanzania.
Mgombea kivuli, similarly to shadow cabinet minister, (waziri kivuli)Sawa sawa mgombea wa jimbo
Ambalo halina jina π
Ova
Matokeo rasmi ya jumla yako wapi. Mkoa wa Manyara matokeo yako wapi hasa majimbo ya MbuluKwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza.
Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu na kunipatia fursa na nafasi ya kuniskiliza kwa heshima na hatimae kunipigia kura nyingi sana za upendo wa dhati na bila gharama yoyote, yaani priceless votes.
Thamani ya kura zenu itaonekana kwenye maendeleo. Tuwaombee kamati kuu ya CCM Taifa.
God bless you all.
Kazi na utu Tunsonge mbele pamoja.
Kidumu chama cha Mapinduzi.π
Mungu Ibariki Tanzania.
Jimbo langu matokeo ya Jumla yameshatoka, na asubuh ya leo kikao cha kamati ya siasa ya wilaya kinaketi kuyajadili na kuyathibitisha na hatimae kuyawasilisha ngazi za juu kwaajili ya maamuzi ya mwisho.Matokeo rasmi ya jumla yako wapi. Mkoa wa Manyara matokeo yako wapi hasa majimbo ya Mbulu
Vikao vya genge la wapigajirelax na uwe mstahimilivu mwenye subra gentleman π
Niongeze sauti au nirudie tena?relax na uwe mstahimilivu mwenye subra gentleman π
hivi mnaendeleaje lakini gentleman?Niongeze sauti au nirudie tena?
Vikao vya genge la wapigaji