Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Mwenzie Paskal Mayala alikuwa wazi kwa jimbo alilogombea na kura alizopata Sasa wewe unaficha nini?
 
mimi ni mtu muaminifu,
na nilienda jimboni kuomba kura na sio kununua kura gentleman, na kwahivyo sikua na kiasi 🐒
Kama unasema kweli basi we we ni mtu wa pekee ndani ya CCM mfano wa kuigwa na wanaccm wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…