Kwa wale waliosoma A-level, nafikiri watakuwa wanakumbuka sana mambo yalivyokuwa walipokaribia kufanya mtihani wa F6. Nachukua fursa hii kuwataki mtihani mwema F6 wote.
Mungu awabariki sana
Awatie utulivu katika mitihani yenu.
Mufaulu vizuri ili mje muijenge nchi yetu inayobomolewa.
amina dah nakumbuka muda huu ninasolve ma logic get ma kd dah madogo kazeni muombeni mungu awape uvumilivu wa nafsi mfanye vizuri kwenye mitihan yenu hyo tarehe nane,9 days to doom day..
Comb za arts ukijichanganya umepotea coz wao pepa zinakuwa non stop,science tulikuwa tunacheza na practcal muda uhu akuna kukremu tena.GUDLUCKY KWA MADENT WOTE.GOD FIRST