Kuna kila haja ya kuwapongeza, Agr. Eng wamekula semistes 8, BVM wamekula semister 10.
Wote mliofanikiwa kumchomoka Sembuche. Ebwana one Love.
Napenda kujumuika na watanzania wenzangu kuwatakia kila la kheri wahitimu wote wa SUA-SOKOINE UNIVERSITY.
Animal Science, Veternary Medicine, Tourism, Agri. General, informatics, Education n.k. Jamii inawahitaji. On love.
Wengine wanapoke first degre, masters na phd, mungu awe nanyi.
Elimu mliyoipata iwe na faida kwa jamii.
ONE LOVE...........
Namtafuta mwenye ujzi wa kutengenza vyakula vya mifugo tuude kampuni twende benk ya kiislamu iliyoanzishwa jana tuchuke mkopo usio na riba tujiajiri wenyewe hii tabia ya kuipigia serikali magoti kuomba ajira na ujuzi tele kichwani ni kujidhalilisha.
mbona.hamtutakii KILA LA HERI WATU WA MUCCOBS.......TAWI LA SUA!!!"""""%%
wakati nipo Sua, kuchukua elective inayotak FoS ilikuwa ni sawa na ku-risk maisha yako.