Kila la kheri watani Simba

Kila la kheri watani Simba

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Pamoja na utani wetu wa jadi, bado mchezo wa leo una maana kubwa sana kwa nchi na hasa kwa maisha ya wachezaji wenyewe wa Simba wanaovuja jasho. Kwa mantiki hiyo, nawatakia kheri.
 
Tuko pamoja mtani.

Angalau wewe una fununu juu ya nini hasa maana ya watani wa jadi
 
Pamoja na utani wetu wa jadi, bado mchezo wa leo una maana kubwa sana kwa nchi na hasa kwa maisha ya wachezaji wenyewe wa Simba wanaovuja jasho. Kwa mantiki hiyo, nawatakia kheri.
Utani si uadui, wewe unaelewa maana ya utani wa jadi, asante kututakia kheri, Insha Allah
 
Pamoja na utani wetu wa jadi, bado mchezo wa leo una maana kubwa sana kwa nchi na hasa kwa maisha ya wachezaji wenyewe wa Simba wanaovuja jasho. Kwa mantiki hiyo, nawatakia kheri.
Naunga mkono hoja
 
Ni 4 kwa 2 kisha penalti.

Kolo watabahatisha kwenye penati na watavuka kwa style hii.
 
Back
Top Bottom