Kila la kheri Yanga kwenye kipindi cha pili huko Sudan

Kila la kheri Yanga kwenye kipindi cha pili huko Sudan

Vontec

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
245
Reaction score
386
Kwenu Young Africans (Yanga), HAIJAISHA! Ndiyo kwanza kipindi cha kwanza, huwa mnashinda kipindi cha pili,
kila la kheri kwenye kipindi cha pili huko Sudan mkapindue meza.

[emoji1614] Wanaandika wana-Mangushi (Coastal Union) <Twitter>
 
Bahati mbaya Sudan Wanatumia mabusati....!

Nyie decimal point 0.5, ndo imeisha hiyo mbona hamsikii....!
 
Back
Top Bottom