Vontec JF-Expert Member Joined Nov 26, 2020 Posts 245 Reaction score 386 Oct 14, 2022 #1 Kwenu Young Africans (Yanga), HAIJAISHA! Ndiyo kwanza kipindi cha kwanza, huwa mnashinda kipindi cha pili, kila la kheri kwenye kipindi cha pili huko Sudan mkapindue meza. [emoji1614] Wanaandika wana-Mangushi (Coastal Union) <Twitter>
Kwenu Young Africans (Yanga), HAIJAISHA! Ndiyo kwanza kipindi cha kwanza, huwa mnashinda kipindi cha pili, kila la kheri kwenye kipindi cha pili huko Sudan mkapindue meza. [emoji1614] Wanaandika wana-Mangushi (Coastal Union) <Twitter>
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Oct 14, 2022 #2 Bahati mbaya Sudan Wanatumia mabusati....! Nyie decimal point 0.5, ndo imeisha hiyo mbona hamsikii....!
Bahati mbaya Sudan Wanatumia mabusati....! Nyie decimal point 0.5, ndo imeisha hiyo mbona hamsikii....!
Pettymagambo JF-Expert Member Joined Aug 21, 2017 Posts 1,490 Reaction score 8,227 Oct 14, 2022 #3 Labda kupodoa mesa.