Kila m2 akifanya hv! HIV kwaheri.

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,244
Reaction score
1,741
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha
 
Ehh kweli duniani kuna mambo!!Kwahiyo unaona kabisa hicho ni kitu cha maana kushauri watu wengine wafanye?Embu jiheshimuni jamani!
 




Samahani kwa swali langu,hivi wewe na mkeo huwa mnatumia ile tumbaku kubwa?Nikishajua labda nitaweza kuchangia.
 
Honanaana whats ur name kweli makubwa haya, Ila si ungeweka kule kwenye jukwaa la vichekesho,
 
unajua niliwahi sikia hadithi ya mke na mume kama hivyo.....

utafikiri utani lakini wapo watu wanaishi hivyo....

wana moyo.....mioyo.....
 
swali siku mkeo akienda huko nje akakutana na wataalamu wa tigo akaja kukusimulia

itakuwaje?
 
Wewe naona unafikiria njia ya kuambukiza ukimwi ni kwa ngono tu. Yaani pale uume unapoingia kwa mwanamke. Vipi kuhusu wale wanaofanya ngono hadi kwa kutambana? Vipi kama anayemlamba anavidonda kwenye mdomo? Je huwa hawa busiani (kiss) wakati mnaenda huko kwenye kuchakachua?

Hivi huwafikiria kwamba hio kondom ilivaliwa vizuri au vipi?

Je kama ikipasuka?

Kaka, be ware, UKIMWI hauenezwi kwa kufanyana tu...! (kissing, kwena chumvini) nk...!

Usiwashauri watu wafuate nyayo za kukos maadili katika ndoa ndugu...!
 
inashangaza,hayo mambo yapo,mimi nilidhani ni mambo ya wazungu tu,kwani wao hufanya hivyo sana,kumbe hata na watanzania wanafanya hivyo?si bora muachane tu kila mtu achukue time yake.au ni story ya kutunga?
 
yan ukickia mlilazimishwa kuoana ndo mambo kama haya yanatoke au hadith 2uu umecopy kwenye filamu za kibongo nini KAMA NDO HVYO KAKA HUJUE HAMJAOANA au nikuulize swali MNAAKILI TIMAMU KWELI?
 
Dah!

Kuna wakati utafika, ibirisi badala ya kumpoteza Mwanadamu, Mwanadamu atampoteza ibirisi, yaani kuna matendo hata ibirisi anaogopa kuyafanya... Tabia yako ni kidayuthi, mtumwa wa ngono, hata kama ni huru, ni maiti hata kama ni hai, heri kwako uwe kaburini labda unaweza kunusurika na hizo dhaambi unazofanya wewe na mkeo, kwa sababu unashindwa na hata na nguruwe anajitambua....!
 
mnh mwe!
acha kutupotosha tuangamie...
nahisi virus vinakunyemelea wewe....
ni hapo mkeo akutane na njemba haitaki kutumia condom,akawa dhaifu na yeye kwa kutokuonyesha msimamo....
enzi hizi utamuaminije mtu kiasi hicho???weee endelea kucheza na maisha yako....
wazungu wengi wako kny loveless marriage,ndio maana wanafanya hivyo...kama mtu unampenda na yeye anakupenda huwezi kuthubutu kumuambia stori za jinsi unavyoshughulikiwa nje!:twitch::twitch::twitch:
 
Nafikiri mwisho wa dunia umekaribia,kama mtu ana guts za kueleza uchafu mkubwa kiasi hiki basi tena.......in short,tuzidishe kusali :horn::sick:
 
Ehh kweli duniani kuna mambo!!Kwahiyo unaona kabisa hicho ni kitu cha maana kushauri watu wengine wafanye?Embu jiheshimuni jamani!

kwa hiyo bora kila m2 afanye kw cri au? km zilivyo ndoa ze2 z cku hz.
 
mod na invisible fungueni jukwaa la watoto maana naona it is highly demanded. :car:
 
kwa hiyo bora kila m2 afanye kw cri au? km zilivyo ndoa ze2 z cku hz.
Hakuna cha kufanya kwa siri wala dhahiri, vyote havifahi...! Alafu mkuu, uoni haya kutetea uzinifu?
 
swali siku mkeo akienda huko nje akakutana na wataalamu wa tigo akaja kukusimulia

itakuwaje?

kwnye makubaliano ye2 tigo no kutoa.ila cku akikutana mziki mnene ananiambia ht mimi cfikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…