inashangaza,hayo mambo yapo,mimi nilidhani ni mambo ya wazungu tu,kwani wao hufanya hivyo sana,kumbe hata na watanzania wanafanya hivyo?si bora muachane tu kila mtu achukue time yake.au ni story ya kutunga?
yan ukickia mlilazimishwa kuoana ndo mambo kama haya yanatoke au hadith 2uu umecopy kwenye filamu za kibongo nini KAMA NDO HVYO KAKA HUJUE HAMJAOANA au nikuulize swali MNAAKILI TIMAMU KWELI?
kwnye makubaliano ye2 tigo no kutoa.ila cku akikutana mziki mnene ananiambia ht mimi cfikii.
unajisikiaje akikwambia kwamba haufikii? hauoni kama unajidharirisha na pia unamdharirisha mkeo?:coffee:
cyo story kama huamini niPM nikurushie number za wife umwombe mchezo.
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha
kwnye makubaliano ye2 tigo no kutoa.ila cku akikutana mziki mnene ananiambia ht mimi cfikii.
cyo story kama huamini niPM nikurushie number za wife umwombe mchezo.
Dunia imefika mwisho Ch......
Nafikiri wewe na huyo mkeo mnahitaji ushauri nasaha maana huu ni ujinga ulipitiliza.
Na wote kama akili zenu si sawa haaa.
Kwa hiyo nyie huwa hamfanyi ngono sio?
NIMECHOKA KABISA
kwa hiyo bora kila m2 afanye kw cri au? km zilivyo ndoa ze2 z cku hz.
duuuuu
sasa hapo unakwepa ngoma au ndo unapokea dear
hizi kondom zinaaminika 99%
hiyo one percent ni kwambwa sana
kama weye kila siku unatoka na kuchakachua nje..
kwa nini tu weye na mkeo msiridhishane..
kuna utamu gani kula pipi kwenye mfuko wake kila siku??
duuhh hizi ndo za siku hizi jamani
zinatia raha..
au hii ndo ile OPEN MARRIAGE???
Samahani kwa swali langu,hivi wewe na mkeo huwa mnatumia ile tumbaku kubwa?Nikishajua labda nitaweza kuchangia.