Mtoa mada ni mtoto wala hajaoa katoa kwenye story za movie kaleta hapa jamvini kupima hasira zetu, kama unataka kujua ni mtoto angalia style yake ya kuandika kwa kutumia numbers e.g 2seme, 2tatfika
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha

kwa walionishaur kwnye thread hii asanten sana kw walionikejeli pia shukran kw wao pia.nimegawa visenksi km pipi bila kujali walionikejeli sababu mi c mchoyo km walivyo wengine kutoa senksi ni inshu.kuna baadh y mambo ya2fanya 2fanyehivo.najua mtaona km 2naigiza ila haya mambo ya ndoa kazi kweli nimeona 2ishivyo itasaidia kujiepusha na hili gonjwa. kama kuna thread ziko humu "kakamatwa live" na"mke wangu anisikii" na nyingine nyingi nieleweke 2 kw nn nimefanya hivyo.... jamani maoni yeni nitayafanyia kazi
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha
Chwechwe kama ni kweli na kama una tatizo linalopelekea hilo kweli.
Hio sio njia sahihi mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu pia.
Mi nafikiri ungetoa au ungesema sababu inayopelekea ninyi muishi maisha kama hayo,
ingesaidia zaidi kupata tiba ya tatizo lako kama kweli unataka kupona katika hio hali.
Lakini inaonekana kama vile mmechagua kuishi hivyo kwa starehe zenu tu.
Basi kaka mpendwa hebu tuambie kuna nini katikati yenu? Hata muishi hivo?
Kumbuka unaposema hilo tatizo huponi peke yako, yawezekana kuna watu wengine wanalo tatizo kama hilo,
Watasaidika pia.
Mungu anakupenda jinsi ulivyo, jaribu kuwa mnyenyekevu tu atakupa njia ya kutoka hapo.
Nadhani ungeoa kwanza Chwechwe,
ili uweze kujistify, uhalisia wa hilo unalozungumza hapo juu,
nafikiri ukishaoa utakuwa umejipatia jibu muafaka,
kama ni sawa au hapana!
Honanaana whats ur name kweli makubwa haya, Ila si ungeweka kule kwenye jukwaa la vichekesho,
Siyo kwamba nitatizo ila nilikua nauliza maisha 2nayoishi yanafaa au 2badili mfumo?