Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.
Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.
Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.
Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali.