Kila Mkoa utoe mbunge mmoja pekeeKumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.
Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.
Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.
Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali.
In short mwamba hujui hesabu! Yaani 60M ÷ 100,000 unapata wabunge 60?Wastani wa 100,000.
Tupo watanzania takribani 60M
60M÷100,000 = 60
Tulitakiwa kuwa na wabunge wasiozidi 100.
Cha kushanganza tuna wabunge 300+
Huko Zanzibar kuna wabunge wanawakilisha watu chini ya 3,000. Wananchi tunalipishwa kodi na tozo lukuki kuwahudumia wabunge wengiii wasio na tija.
This is Tanzania.
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.
Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.
Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.
Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali.
mihemko na ukurupukaji ni kitu mbaya sana, hata sijui anawahi wap na anawahi nini kwa hesabu ndogo kama hiyo 🤣🐒In short mwamba hujui hesabu! Yaani 60M ÷ 100,000 unapata wabunge 60?
Zanzibar kuna majimbo 50, bado viti maalumKumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.
Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.
Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.
Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali.
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana juu ya uwakilishi wa kila Mbunge mjengoni. Sheria inasema kuwa kila Mbunge anatakiwa kuwakilisha wastani wa watu 100,000 katika Jimbo lake.
Nashauri tufuate sheria na tuache short cut ambapo maeneo mengine Mbunge anawakilisha chini ya Idadi ya wananchi 100,000.
Tuache kabisa pia kuongeza majimbo ya uchaguzi inayopelekea kuongeza gharama kwa Serikali.
Pia zile Halmashauri za miji zilizoanzishwa kisiasa mfano Tarime, Bunda, Kahama, Geita n.k. zifutiwe Wabunge na zibaki na wabunge kama ilivyokuwa hapo awali