Babylon
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 1,332
- 83
Hivi mzee yusufu Makaba bado yupo nasi? alituhaidi atamjibu mamaAnne Kilango kutokana na ile kauli yake aliyosema kuwa kuna mafisadi miongoni mwao,lakini kwa bahati mbaya miezi imepita bila ya majibu,au tayari amesha towa majibu na kama ameshatowa majibu kuna mtu yeyote anaweza kutubandikia hapa tukayaona ?na kama hakuna majibu basi inadhihirisha kuwa huyu mama sio wakuchezewa na makamba,pia ni aibu kwa huyu mzee kwani vijana na watu wengine ndani ya jamii watamuona kuwa si msemaji ukweli na hana ukweli .
Last edited: