Kila mchezaji hapa nchini anatamani kucheza Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Za chini chini naskia Kila mchezaji huko ukoloni (Simba) anataka kuforce kusajiliwa na Yanga .....alianza Chama Baada ya kuzinguliwa kamaind na kubeba begi Hadi kwao
Kibu pia kwa lolote lile Simba wapo tyr kumfanyia ...lkn jamaa anataka kwenda Yanga
Onana ....ayubu wote hawa wanataka kuja Yanga ....Je Sasa Kila mtu akienda Yanga ..,... balance of power itakuaje

NB
SASA KAMA KILA MCHEZAJI ANATAKA KUCHEZA YANGA NA KOCHA NDIO GAMONDI WEWE HUOGOPI......!!!!🫵[emoji1787]
 
Utopolo wanangaika na Simba kuliko hata timu Yao, Simba ipo Imara.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
 
Hahaa
 
Timu yoyote ikipangwa kucheza na Yanga wacheazaji wanaomba wanaomba udhuru, ila inapokuja kucheza na Simba kila mchezaji anaingia mazoezini kwa furaha.
 
Timu yoyote ikipangwa kucheza na Yanga wacheazaji wanaomba wanaomba udhuru, ila inapokuja kucheza na Simba kila mchezaji anaingia mazoezini kwa furaha.
Unadhani tatizo lipo wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…