Sasa vijana wote wakicheza mpira bongo hii itakalika??Tunawatakia ushindi ingawa kwa watumishi wa umma nadhani tutakua tumejifunza kitu. Tumekuwa tukiwalazimisha watoto wetu wasome ili baadaye waajiriwe na mwisho wa siku wanaishia kupata mshahara kiduchu mwisho wa mwezi.
Ona sasa kwa hao wachezaji ambao wengi wao hawajosoma kivile, lakini kupitia vipaji vyao vya kucheza mpira, wanalamba mamilioni ambayo kwa watumishi wa umma wanapokopeshwa hela kama milioni 10, watailipia kwa miaka 5 na kutozwa riba mara dufu. Nb: tuheshimu vipaji vya watoto wetu.
....Hakuna taasisi yoyote inayoweza kumuhoji Makonda kuanzia JWTZ na kuendelea. Yuko juu ya sheria, na mtu yoyote wa takukuru aliyechoka kazi athubutu kuhoji.
Kutoka katika kifungu gani cha bajetu mkuu??Fedha hizo zimetolewa Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa sio Paul Makonda
Kutoka katika kifungu gani cha bajetu mkuu??
Hata makontena alisema yameagizwa na ofisi kilichotokea unakijua.Fedha hizo zimetolewa Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa sio Paul Makonda
Sasa vijana wote wakicheza mpira bongo hii itakalika??
Hata makontena alisema yameagizwa na ofisi kilichotokea unakijua.
Kamati yenye Stive nyerere,wema,mwanaFA haji manara watoe Milioni 200 kweli hahahahahsMkuu pesa inatoa kamati ya Makonda sio yeye Makonda, so hapo wanakamati wanachangishana wanatoa milion 200 kwa wachezaji 20 tu. Makonda huwa hafanikiwi na hili litapita tu nipo hapa mpira unachezwa uwanjani sio chumbani.
Maana yake utaratibu wa kukusanya mapato wa TRA ulikiukwa halafu tutegemee kuacha kuwa omba omba.Ninachokijua Ni Kuwa Hazina na TRA waliufyata kwa Governor wetu wa Jimbo kuu la Dar Es salaam
Ushaskia Tena Cha Mnada
Timu itafuzuje wakati ipo nafasi ya tatu! Hau wataifunga Uganda alafu wanakimbia kwenda kuisaidia cape Verde kuifunga Lesotho!!!?Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde RC Paul Makonda amesema kamati yake itatoa Sh10m kwa kila mchezaji iwapo timu itafuzu kucheza AFCON
Nyie mlizaliwa kwenye zizi la ng'ombe????hujui main sponsor wa Taifa stars ni Serengeti Breweries... Sasa 300 m kampuni kubwa kama ile inashindwaje kutoa..Uganda mwaka juzi walipewa 40 mHawa ni watumishi wa umma katika awamu ya tano. Mkuu wa Mkoa mshahara wake milioni nne kwa mwezi na hajawahi onyesha biashara zake anatoa wapi haya mamilioni?
Tusitumie Timu ya Taifa kutakatisha fedha wala tusitumie timu yetu kuwalisha vitu haramu. Tujue chanzo cha haya mabilioni anayotoa Mkuu wa Mkoa tena mbele ya Waziri Mkuu wa nchi.
Naamini Majaliwa mwenyewe hana huu utajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wako ugenini sio home..na hawa CAF wanaangaliaa H2H na sio wingi wa Magoli! Cape Verde wako Home. Naimani watashinda. Na huku napo Tanzania atashinda!
Sheria za Serikali kuhusu Gift na Prize kwa mfanyakazi wa serikali naamini unazijua sana MkuuGift and Prizes and/ or Honorarium