Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 20, 2025 #1 Rejea kichwa cha habari hapo juu. TFF kuna nini kinaendeleaa, Nassoro Hamduni weka sawa yanayoendelea. Ushauri wangu tu achaneni kutesa watu uwanjani kama mmepanga bingwa, wapeni ubingwa Simba. Sio lazima wamalize hii ligi yenu ya kihuni.
Rejea kichwa cha habari hapo juu. TFF kuna nini kinaendeleaa, Nassoro Hamduni weka sawa yanayoendelea. Ushauri wangu tu achaneni kutesa watu uwanjani kama mmepanga bingwa, wapeni ubingwa Simba. Sio lazima wamalize hii ligi yenu ya kihuni.
M Mzee Kijana JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 1,442 Reaction score 1,140 Feb 20, 2025 #2 Wewe jamaa chenga kabisa kichwani. Utopolo wahedi