Kila mmoja na mafaili yake; wewe unafanya kazi gani?

Kila mmoja na mafaili yake; wewe unafanya kazi gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kila mtu anapambana na hakuna anayelala njaa Leo tujuane kwa kazi zetu zinazotuweka mjini.tuambie unapopatia posho
Nikianza Na Mimi mwenyewe Ni mfanyabiashara wa grocery yaani Ni pamoto balaa wateja Ni pasua kichwa anyway tutaishi nao.wewe mwenzangu unauza Nini au unafanya kazi gani?
 
Mimi ni fundi nipo mtaani nadanga! Huwa naombea sana vifaa vya watu viharibike nipate hela!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Back
Top Bottom