ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Duh Basi sema kazi ya bwana wakoWa mama wa nyumbani tunaruhusiwa kucomment
Mama wa nyumbaniDuh Basi sema kazi ya bwana wako
Mama ntilie asubuhi napika chapati na supu ya mapupu bandama na Koromeo.
Jioni naamia kwenye kukaanga mihogo miguu ya kuku utumbo na firigisi..[emoji4]
Alhamdulilah!!! Life linasonga.